Insecurity reports in Madogo,Tana river

Occurred in Kenya on June 23, 2022 at 2 a.m.
Reported by Anonymous via SMS on June 23, 2022 at 2 a.m.
# Election insecurity

This report is New / uninvestigated and is of High Priority. Here is why -
Habari ya saa hii nime shudia hapa modogo kuna vijana ambao wanajiita kayole ni waizi wanapokonyawatu mali yao na nguvu wanakatakata watu n panga sai walikatakata majama wawili walikua na boda boda very sad wmechukua simu zau na pikipiki yao vijana hawa wanalenga wabara sana tuliwa kimbiza hosipitali wkona deep injeri wanapokea huduma ya kwanza kwa sasa
Resolution added by - mohammed Ali
I have also heard this
Comments